Samwel Sitta anaweza kushtakiwa

Samwel Sitta anaweza kushtakiwa

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Huyu Spika wa bunge Maalum la Katiba anaweza kushitakiwa ?
Labda kosa niseme ni kuliendesha bunge kwa kutotumia kile kilichotakiwa kitumike ,ikithibitika kuwa ameiweka pembeni Rasimu halisi ya Tume ya jaji Warioba na kujadili kitu kingine kabisa ,au tuseme au niseme ameruhusu kuondoa lengo halisi la Bunge hilo la kuijadili Rasimu ya Katiba iliyowasilishwa na Tume ya Jaji Warioba na badala yake kujadili kitu kingine ,kutoijadili rasimu hiyo ni kutupilia mbali maoni ya wananchi ambayo rasimu iliyokabidhiwa Bunge hilo pia ilisainiwa na Raisi wa nchi na hivyo kuifanya kuwa ni rasimu pekee iliyohalali kujadiliwa kipengee kwa kipengele ,ikithibitika hayo hayakufanyika je Mheshimiwa Sitta anaweza kufikishwa mbele ya mahakama na kujibu ni kwa nini alibadilisha Dira ya Bunge hilo la katiba na kilichowapeleka wao kuwepo hapo Bungeni ?

labda kunaweza kuwekwa sawa kwa watu mnaowakilisha kesi na kujua sheria.Maana jambo hili huwezi kushitaki kama umeibiwa nazi !
 
Hapana, kwa kosa lipi? Mahakama ya wananchi inawezekana sana not law courts
 
kuna tofauti kati ya samwel sita na mwenyekiti wa BMK
 
Back
Top Bottom