Ni mara Mia moja Pandu Kificho angakaa kwenye kiti hichi hakika angefanya makubwa kwa hekima na Busara zake ila Sitta anaendesha Bunge kibabe akifikiri ni kile kipindi chake ambacho wabunge lile lisilojitambua.......Leo hii ajue kuna watu wanasoma kanuni na kulala nazonhivyo kuwaburuza hakutakuwa na mwisho mzuri.
hadi nimecheka....................kweli kazi ipo ila naamini pale Bungeni pataeleweka tumchezaji namba 6 ni mpummbaaavu kabisa, anahitaji super sub ya kuaminika
Kipi kina nguvu mkuu; kanuni (za sheria) au logic?Mambo mengine ni suala la logic, huwezi kuzindua bunge wakati watakachojadili hapo hawanacho.
hadi nimecheka....................kweli kazi ipo ila naamini pale Bungeni pataeleweka tu
Povu lote la nini. Jadili mada iliyo letwa, kwa kawaida asiye na upeo mkubwa katika kujadili mada huja kwa speed ya mipasho.
Kwa taarifa yako mie si mponea dezo za kisiasa, naponea jasho langu, na katu siwezi kushinda majukwaani nikishupaza mishipa kama sina akili timamu, bora nikalime tuta la mbatata na hakuna mwenye kunisuta au kuja kunikagua ilivyo mfanyiwavyo vinavyotokana na dezo.
Kipi kina nguvu mkuu; kanuni (za sheria) au logic?
Ilikuwaje hao 'wengi' wakapitisha kanuni zinazokinzana kiasi cha kuonekana mbovu hata kabla hazijaanza kutumika? Huoni ni kutokana na uzembe wa kuitikia "Ndioooooo"? Hawajajifunza kwa kosa la kupitisha sheria ya kodi ya line za simu mwaka jana?Mkuu nakubaliana na wewe kuwa kanuni zina nguvu lakini lazima busara na logic zitumike pale kanuni zinakinzana na hali halisi. Otherwise, kama kungekuwa na muda wa kutosha wangebadili kanuni.
Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samweli Sitta ameanza vibaya kazi yake siku ya kwanza kwa kukiuka kanuni za Bunge la katiba.
Sitta alitangaza kwamba Jaji Warioba atawasilisha Rasimu ya Katiba mpya kabla ya Rais Kikwete kuhutubia, jambo ambalo ni uvunjaji wa kanuni za Bunge hilo, maana kanuni inasema wazi Rais Kikwete atahutubia Bunge hilo kabla ya Warioba kuwasilisha rasimu hiyo.
Tundu Lisu mjumbe wa Bunge hilo akitaka mwongozo alimtahadharisha Sitta juu ya ukiukwaji huo, na kwamba sababu ya kuwekwa sheria hiyo ni kuondoa kile ambacho kingeonekana Kikwete kumjibu Mwenyekiti anayewasilisha mswada, hivyo ilikubaliwa Rais ahutubie kwanza Bunge ndipo mwenyekiti Warioba awasilishe rasimu.
Hali halisi inaonekana CCM wanaendelea kucheza faulo kwenye Bunge hili.
Amekiuka kanuni gani? Umezisoma hizo kanuni wewe au unakuja tu hapa kubwabwaja ili upotoshe watu kwa malengo yako unayoyajua!!! Maelezo aliyotoa SITTA ni ya msingi na Kanuni ya 85 inaruhusu hoja kwa ajili ya kutengua kanuni yoyote kwa madhumuni fulani. Hoja ya kutenguliwa Kanuni ya 7 ilitolewa ili Rais azindue Bunge Ijumaa kwakua ana ratiba zingine. Hivyo ni busara tu kwamba Warioba awasilishe rasimu hii leo kama anavyotakiwa na sheria ya mabadiliko ya katiba then aondoke zake!!!! Wewe na wenzako mna wasiwasi gani Mkuu wa Nchi [RAIS] akizindua Bunge baada ya uwasilishaji wa Warioba???? Acha UPOTOSHAJI. SHAME ON YOU!!!
Ungekuwa unajua sheria hizo kuliko mimi uneleta hoja zako hapa kutetea hilo badala ya kuanza na mashambulizi ya matusi, sina muda wa kubishana na watu wa aina yako kwa vile hamko kwa masilahi ya taifa bali ya kikundi cha viongozi
NEVIOT, kama ni kweli umesoma sheria kama unavyodai hungeandika point ya kipuuzi kama ulivyoandika katika jibu lako la awali, eti;Hapo kwenye bold ---Hatuko hapa kubishana nani anajua sheria zaidi kati yako na mimi kwakua hata wewe hujui mimi ni nani na cv yangu na hakuna haja ya kujua hayo maana hayatakusaidia lolote. Aidha, sihitaji kujua una elimu gani ya sheria ila ninachoangalia ni hoja yako. Nikuambie tu kwa ufupi kwamba mimi nina shahada ya uzamivu katika sheria kutoka chuo kikuu cha HUMBOLDT kilichopo Berlin Ujerumani. Katika andiko lako hapakua na hoja ya msingi na kama umesoma kanuni za bunge maalum kwa ufasaha basi ungeelewa kwamba SITTA hajakiuka KANUNI YOYOTE. Nakusihi tu kwamba si afya kupotosha watu hapa hasa katika kipindi hichi muhimu ambacho taifa letu liko katika mchakato wa mabadiliko ya katiba. Tanzania Kwanza, Tanzania Milele!!!!!!!!!!!!
My God, are you serious? Unaelewa jukumu la bunge la Katiba? Hizo ratiba zingine anazoweza kuwa nazo Raisi zikawa na umuhimu kupita kuzindua Bunge la Katiba ni zipi? Kwa mtu anayedai eti kasomea sheria, this logic is more than ridiculous...it is stupid. Je ilitokea ghafla tu akatakiwa kuzindua hilo Bunge au ni jambo limepangwa kwa muda mrefu, hii hasa ndio thinking ya usanii/uswahili uliotufikisha Watanzania hapa tulipo, it is pitiful...na nakuapia kitu kama hiki kinaweza kutokea tu katika nchi yenye watu kama NEVIOT, anayesemekana kusomea sheria chuo kikuu cha HUMBOLDT Ujerumani. Samahani mods kwa lugha kali lakini ni vigumu kwangu kuuita ujinga werevu....hoja ya kutenguliwa Kanuni ya 7 ilitolewa ili Rais azindue Bunge Ijumaa kwakua ana ratiba zingine!
Kusipotokea mtifuano bunge movie kati ya wiki hii na wiki ijayo basi tutavuka salama kwa mtindo wa funika kombe mwanaharamu apite.
Amekiuka kanuni gani? Umezisoma hizo kanuni wewe au unakuja tu hapa kubwabwaja ili upotoshe watu kwa malengo yako unayoyajua!!! Maelezo aliyotoa SITTA ni ya msingi na Kanuni ya 85 inaruhusu hoja kwa ajili ya kutengua kanuni yoyote kwa madhumuni fulani. Hoja ya kutenguliwa Kanuni ya 7 ilitolewa ili Rais azindue Bunge Ijumaa kwakua ana ratiba zingine. Hivyo ni busara tu kwamba Warioba awasilishe rasimu hii leo kama anavyotakiwa na sheria ya mabadiliko ya katiba then aondoke zake!!!! Wewe na wenzako mna wasiwasi gani Mkuu wa Nchi [RAIS] akizindua Bunge baada ya uwasilishaji wa Warioba???? Acha UPOTOSHAJI. SHAME ON YOU!!!
Amekiuka kanuni gani? Umezisoma hizo kanuni wewe au unakuja tu hapa kubwabwaja ili upotoshe watu kwa malengo yako unayoyajua!!! Maelezo aliyotoa SITTA ni ya msingi na Kanuni ya 85 inaruhusu hoja kwa ajili ya kutengua kanuni yoyote kwa
madhumuni fulani. Hoja ya kutenguliwa Kanuni ya 7 ilitolewa ili Rais azindue Bunge Ijumaa kwakua ana ratiba zingine. Hivyo ni busara tu kwamba Warioba awasilishe rasimu hii leo kama anavyotakiwa na sheria ya mabadiliko ya katiba then aondoke zake!!!! Wewe na wenzako mna wasiwasi gani Mkuu wa Nchi [RAIS] akizindua Bunge baada ya uwasilishaji wa Warioba???? Acha UPOTOSHAJI. SHAME ON YOU!!!
NEVIOT, kama ni kweli umesoma sheria kama unavyodai hungeandika point ya kipuuzi kama ulivyoandika katika jibu lako la awali, eti;
My God, are you serious? Unaelewa jukumu la bunge la Katiba? Hizo ratiba zingine anazoweza kuwa nazo Raisi zikawa na umuhimu kupita kuzindua Bunge la Katiba ni zipi? Kwa mtu anayedai eti kasomea sheria, this logic is more than ridiculous...it is stupid. Je ilitokea ghafla tu akatakiwa kuzindua hilo Bunge au ni jambo limepangwa kwa muda mrefu, hii hasa ndio thinking ya usanii/uswahili uliotufikisha Watanzania hapa tulipo, it is pitiful...na nakuapia kitu kama hiki kinaweza kutokea tu katika nchi yenye watu kama NEVIOT, anayesemekana kusomea sheria chuo kikuu cha HUMBOLDT Ujerumani. Samahani mods kwa lugha kali lakini ni vigumu kwangu kuuita ujinga werevu.
Mambo mengine ni suala la logic, huwezi kuzindua bunge wakati watakachojadili hapo hawanacho.