Umegundua nini kwenye hivi vitanda?
Vyote mbao zake ni grade one
Vyote havina marembo ya ajabu ajabu.. Marembo ya ajabu hualika maroho ama hushughulisha akili inayotaka kupumzika
Vyote havina msumari hata mmoja (napo najua hukuliwaza hili)
Rangi za shuka zimetulia. Mashuka hayana michoro na marembo
Vyote hakuna 4kwa6😂
Vyote viko kimo cha chini kasoro kimoja cha mwisho cha ghorofa
Nknk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.