Sanaa na Wasanii wa mji wa Malindi Kenya

Sanaa na Wasanii wa mji wa Malindi Kenya

azerbaijan

New Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Sijui aliyesema lakini ni maneno ya busara sana. Kasema nini aliyesema? Kasipo na wivu hapana mapenzi!!!
Mbona nasema haya? kila kukicha naangalia pandashuka za wasanii wa mji wangu wa Malindi huku nikilinganisha na wasanii wa mji mingine. Ni kama tunaonewa.
Hii ni safari, nianza leo na kila siku nitakuwa na story au kisa ya hali ya pilkapilka tofauti kuhusu sanaa na wasanii wa mji wa malindi kenya

Nitakuwa nikishirikiana kwa karibu na tovuti fulani mji humo iitwayo malindians kwa picha na habari zaidi kuhusu mji huo.
 

Attachments

  • IMG_6362.JPG
    IMG_6362.JPG
    67.7 KB · Views: 73
Back
Top Bottom