Sanaa ya siasa: Mbinu za Rais Magufuli katika medani hii


Mkuu Tupe za Mwenyekiti. Huyu JPM wote tunaona kwa macho. Tupo za Dr Mbowe. Anafanyaje kushinda uenyeketi Daily.
 
Hivi maana ya rushwani hipi au ni nini?
Watu wanatoa rushwa kwa kisingizio cha msaada, wakati watu wengine wakiwanunulia watu soda, TAKUKURU wanawakamata. Mbona hapo wanagwaya? Au mtu mkubwa akitoa rushwa inatambuliwa kama msaada?
Dingi akijamba, kesi anabebebshwa mtoto kwa kugombezwa kuwa hana adabu.
 
Umejitahidi sana mkuu kwa uchambuzi huu, hongera!

Mbinu nyingi anazotumia ni za kilaghai zaidi. Hivyo kutufanya wengine tumuelewe tofauti na anavyonasibiwa na wale waimbao mapambio.
 
Ukiwa mtaalamu wa siasa, ukimsoma Magufuli mbinu zake za kisiasa wala hakusumbui maana kila akijipindua unajua kitu gani kinaweza kuwa his next move.

Sasa kawakata watu kibao kwenye kura za maoni ndani ya chama, hao aliowaweka kama wakishinda uubunge watakwenda kuwa loyal kwake bungeni mpaka basi
 

Ushindi mbele kwa mbele reverse pancha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…