Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Katika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.