Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sanamu tuu msako na watapatikana ila wanaouwa na kuteka upelelezi unaendelea..... Kipimo cha akiliKatika Hali isiyo ya kawaida watu wasiofahamika wameivunja na kuharibu sanamu ya Baba wa Taifa mwalimu Nyerere iliyopo katika kituo cha wanafunzi " student center" eneo la nje . Serikali imesema tayari vyombo vya Dola vimeingia mtani kuwasaka wahusika wa tukio hilo na nia Yao.
View attachment 3102499
Nchi imechafuka chunga maandiko yako mafwele atakudaka na utachezea shaba ya tayaHilo sanamu kuwepo hapo linasaidia nn Kwa maishà ya Tz ya Kila ckuu,au ndio kuiga IGA vtu 🤭
Unayo akili au huna?.....mm naona kama huna vileHilo sanamu kuwepo hapo linasaidia nn Kwa maishà ya Tz ya Kila ckuu,au ndio kuiga IGA vtu 🤭
Sana hawana heshima kwa Mwalimu Mzee wa watu ametuletea Uhuru.Kuna watu wakorofi
Huna akiliHilo sanamu kuwepo hapo linasaidia nn Kwa maishà ya Tz ya Kila ckuu,au ndio kuiga IGA vtu 🤭
Sana watakuwa wa mfano. Mwalimu Nyerere hadhihakiwi.Hao wamebugi
Wee nawe huna akili, Na acha kutumia jina la watu wenye akiliSana watakuwa wa mfano. Mwalimu Nyerere hadhihakiwi.
Kama nyie ndio mmelivunja mjiandae kwenda kunyea debeWee nawe huna akili, Na acha kutumia jina la watu wenye akili