SANAMU YA MNYAMA SASA INAPUMUA

Challenge is.... Scriptures ni literature

And you can form or destroy any character kirshisi Tu

The whole analysis and triangulation ya dola, kanisa, mnyama, mwanamke etc. Could mean anything

From family, state, continent, clan, policies, culture, tribe etc.
 
Zama Basi mkuu, ukipata muda anzisha uzi ambao utafichua hilo ili nasi tupate nuru..... Ahsante, usisahau kuni tag
Sawa mkuu, nipo kwenye kuliandaa maana lina ushahid mwingi sana,

Kwa ufupi ngoja nikudokeze

Kanisa katoliki lilivumbua korani ili liweze kupata njia mpya ya kutekeleza madogma na mapokeo yake.

Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu;, maana kuna kipindi UPAPA ulipata jeraha la mauti, yaani PAPA alitekwa na wafaransa , sasaax wale askari walipokuja kumteka PAPA ndio walikuta nyuma ya kiti cha papa maneno ya kiarabu ambayo yapo kwenye Quran pia.

Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema

“wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani,

“Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).

NITAKUJA KUELEZA HADI JINSI waislamu wanavyomuamini maria kama wakatoliki,

Yaani ukiangalia hata mwanzo wa uislamu , unakuta kuna padri ndio anamtabiria Muhamad kuanzisha uislamu....
 
Malizana na mnyama kwanza, halafu ukianzisha huo uzi nitag nitafika mara moja
 
Gazeti lime andikwa na kuchapishwa na nan?? Je una mwamini mwandishi kuliko kanisa[emoji41]
 
Nilichokigundua ni kwamba hapa Jf kuna baadhi ya watu wameshakuwa brain washed na hizi dini za mapokeo na hawataki kutafuta ukweli nje ya uongo!
 
Ukielewa hakuna Mungu na hizi habari zote ni za watu tu, hizi habari nyingine zote ni vibwagizo vya mazungumzo baada ya habari tu.
 
Sio katika uislamu mkuu
Nakwambia hivi.

Ukishaelewa hakuna Mungu (muweza yote, mwenye ujuzi wote na upendo wote), utajua hizo habari zote za Uislamu na Ukristo ni tungo za watu tu.

Hakuna Mungu.

Kwa hiyo hata Uislamu kuwa dini ya Mungu nayo ni fix tu.

Ukristo kuwa dini ya Mungu ni fix tu.

Hakuna Mungu.

Ndiyo maana ukisoma hivyo vitabu vya dini unaona contradictions kibao.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna mtu anayeweza kuthibitisha Mungu yupo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Ukielewa hakuna Mungu na hizi habari zote ni za watu tu, hizi habari nyingine zote ni vibwagizo vya mazungumzo baada ya habari tu.
Unaweza kutuambia asili ya dunia hii ilikuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi?
 
Unaweza kutuambia asili ya dunia hii ilikuwaje kuwaje mpaka ikawa hivi?
Naweza kukuambia kwamba haikuumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ndiyo maana inaweza kuwa na mabaya mengi.

Ingekuwa imeumbwa na Mungu huyo, isingekuwa na mabaya.

Njia moja ya kujua ukweli ni "elimination method ".

Unaondoa upande ambao jibu la kweli haliwezi kuwepo. Unaangalia upande ambao jibu la ukweli lina nafasi ya kuwepo.

Ukiambiwa square root ya 2 ni lazima iwe ndogo zaidi ya mbili, unaitafuta kuanzia 2 kwenda chini, si kwenda juu.

Sisemi kwamba najua chanzo cha dunia mpaka ikawa hivi ni nini.

Na kutokujua huko hakunizuii kujua kwamba haikuumbwa na Mungu.

Kama vile ambavyo kutojua square root ya 2 ni nini, hakunizuii kujua kwamba square root ya 2 ni kumi.

Kuna watu wanaunganisha moja kwa moja kutojua chanzo cha dunia na kuwepo kwa Mungu.

Kwa kusema, "kama hujui chanzo cha dunia, basi lazima imeumbwa na Mungu".

Hili ni kosa la kuunganisha mambo yasiyohusiana. Kimantiki linaitwa "non sequitur".

Ni kama kusema "usipomjua baba yako mzazi, basi lazima baba yako mzazi ni Mwl. Julius Nyerere".

Logical non sequitur.

Sijui dunia ilianzaje.

Lakini najua haikuumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu Mungu huyo kuumba dunia inayoweza kuwa na mabaya kama hii ni contradiction kubwa sana.
 
Illusionist, soma pia kujua kuhusu imani katoliki siyo unapambana maandiko ya wapinga Kristo..!

Stupidest of the all level..!
 
1.hujui chanzo cha dunia
2.Mungu akuumba dunia

Swali ; ukiainisha matatizo unatakiwa uje na njia mbadala ya kuondoa tatizo hilo, wewe ukisema Mungu ajaumba dunia basi unapaswa uje utuambie nani aliumba dunia? kama ujui basi ni vyema ukakaa kimya sio kuonyesha matatizo bila kutoa majibu ni upuuzi
 
Hahahaha....! Ama kweli wabongo, duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…