Bajeti ya kunguru
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 1,379
- 1,069
Nimekuchungulia kwenye maandishi yako imani yako ni kweli Mungu yupo Ila umesongwa na wale wasiotaka kuamini wapotoshaji ushauri wangu isikilize nafsi yako achana na kutumia nguvu nyingi kupinga kuwa hakuna rangi ya kijani inayojitegemea kwa kuwepo blue na njano.Nitamwambia nikosa lake kuwa na akili kuu hivyo halafu kujifichajificha tusimjue vizuri hata baada ya kuzozana sana.
Angetupa akili kubwa ya kumjua bila shaka tungemjua bila mzozo.
Hutakiwi kumnyima mtoto elimu ya kujua kusoma, halafu akikua hajui kusoma, umuadhibu kwa sababu hajui kusoma!