SANAMU YA MNYAMA SASA INAPUMUA

Nimekueleza "elimination method" hapo juu, umeielewa?

Nikikwambia square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, halafu nikakwambia square root ya 2 ni 10.

Utakubali?
 
aliyetunga biblia alikuwa katika hali nne;
1. kuna wakati alikuwa anaandika akiwa na furaha
2. kuna wakati alikuwa anaandika akiwa na sonono
3. kuna wakati alikuwa anaandika akiwa na hofu
4. kuna wakati alikuwa anaandika akiwa amelewa
 
Nimekueleza "elimination method" hapo juu, umeielewa?

Nikikwambia square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, halafu nikakwambia square root ya 2 ni 10.

Utakubali?
Usilete kuzunguka zunguka kama hayo nilioandika ni uongo kuhusu kile unachokieleza humu , sema kipi uongo na ukweli ni upi ,halafu tutaanzia hapo
 
Mleta mada wewe ni kiboko! Yaani umeweka mpaka ushahidi kuonyesha jinsi wanavyojiandaa kulazimisha watu wote tuabudu siku moja... The new world order
 
Mtoa mada soma kitu inaitwa the council of nicea. Hutaandika upuuzi wako huo
 
Sasa hata watu wakisali siku ya Jumapili kwani kuna shida gani!??
Kwani huyo Mungu hatambui siku zingine ama ni nini!??
 
Labda kama hujui

Ila tambua uislamu ni dhehebu la katoliki

Inasemekena Uislamu unaitambua Sabato na dhehebu la SDA linasadiki fundisho hilo la Waislamu. Na waislamu wanakiri Yesu sio Mungu na wala Mwana Wa Mungu.

Kanisa Katoliki linasema yeyote anakiri kwamba Yesu sio Mungu Huyo ni mpinga Kristo. Je,hapo ni nani ni rafiki Wa Uislamu?
 
Kwa ufupi ngoja nikudokeze

Kanisa katoliki lilivumbua korani ili liweze kupata njia mpya ya kutekeleza madogma na mapokeo yake.

Pia inajulikana wazi kwamba kiti cha upapa kilitoka katika upagani wa Uislamu;, maana kuna kipindi UPAPA ulipata jeraha la mauti, yaani PAPA alitekwa na wafaransa , sasaax wale askari walipokuja kumteka PAPA ndio walikuta nyuma ya kiti cha papa maneno ya kiarabu ambayo yapo kwenye Quran pia.

Alexander Hislop, akizungumza juu ya kiti cha enzi cha Petro au kiti cha enzi anachokalia Papa, anasema

“wakati askari wa Ufaransa chini ya Jemedari Bonaparte walipoimiliki Roma mwaka 1795, walikuta nyuma yake, kwa Kiarabu, sentensi hii inayojulikana sana kutoka kwenye Korani,

“Hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu, na Mohhomed ni Mtume Wake” — (The Two Babylons, Page 213, Chapter 6, Religious Orders, Section L).

NITAKUJA KUELEZA HADI JINSI waislamu wanavyomuamini maria kama wakatoliki,

Yaani ukiangalia hata mwanzo wa uislamu , unakuta kuna padri ndio anamtabiria Muhamad kuanzisha uislamu....

NITAKUJA BAADAE KUKUFUNZA NIPO CLASS NAMALIZIA LECTURE
 


Umesoma historia gani? Hivi unafahamu dola ya Rumi ilianguka mwaka gani?
 
Umesoma historia gani? Hivi unafahamu dola ya Rumi ilianguka mwaka gani?
Wewe unaifahamu historia vzr?

Umesoma.historia ya PAPA ALIVYOTEKWA NA WAFARANSA ? na upapa watu wakaamini umekufa? Hadi pale benito mussolin alipokuja kuutejesha tena,unaijua hiyo historia ? Kama huijui sema uelekezwe

Na hiyo ndio JERAHA LA MAUTI lile lililonenwa na NABII YOHANA
 
Hivi Mungu alipumzika kuumba dunia siku gani? Haya majina ya Jumapili sijui Jumamosi yasitufanye kuwa tofauti, wakati binadamu ndo kayaita. Na kumbuka hakuna siku iliyoumbwa kuwa Jumatatu wala Jumanne, siku inakamilika pale jua linapochomoza na kuzama. Mwanadamu kazipa majina kwa kurahisisha hesabu zake binafsi
 
Roma Kuanzisha Dini ya Kiislamu,
Hapa kuna ukweli fulani yaani Wakatoriki ndio walioanzisha dini ya Kiislamu.
Kwakuwa walimfundisha, Padiri Waraqa Bin Naufal.
Akamtabirie Muhamadi kuwa Mtume wa Dini ya Kiislamu naye akafanya hivyo.
Padri Waraqa ndiye aliyemwambia mtume kuwa ajitambue kuwa ni Nabii wa dini ya Kiislamu.
Kule Pangoni, Roma walimtuma baunsa mmoja amkabe mtume na kumlazimisha kusoma, na hakujitambulisha kabisa na wala hakumwambia kuhusu kuwa Nabii wala kuanzisha dini.
Padri Waraqa ndiye aliyemwambia akanzishe dini na akamkabidhi na Qurani ili kuwasadikisha waislamu kuwa imeshushwa toka Mbinguni.
Leo kwa mara ya kwanza nakubaliana na AROON.
WaKatoriki wako makini sana kwenye mipango yao.
Hapa nasubiri maoni ya bwana mushahara.
 
UHAI UNATOKA WAPI?
 
UHAI UNATOKA WAPI?
Sijui.

Tutafute tujue chanzo. Na njiamoja ya kutafuta jibu lakweli, ni kuchambua majibu yanayowezekana kuwa ya kweli, kuyachunguza,yakionekana hayafai,tunayatupa.

Sasa basi, kwamfumo huo, tujiulize, je uhai unatokakwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote au la?

Jibu ni la.

Kwa sababu gani?

Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote, asingeumba ulimwengu ambao uhaiunaisha kikatili na kuwatenganisha ndugu wanaopendana.

Mama anafiwa na mtotomchanga ambaye hata haja enjoy kuwa naye.

Baba anatenganishwa na mama,etc.

Huyo Mungu kwa nini awe mkatili hivyo? Si mnasema ana upendo wote? Ana uwezo wote? Ana ujuzi wote?

Kwa ninihakuumba ulimwengu ambao kifohakiwezekani popote,kwa yeyote, muda wowote, viumbe wake waishi raha mustarehe siku zote?

Ukichunguza utaona huyo Mungu hayupo.

Tutafute chanzoi cha uhai kwingine.
 
Siku ukikutananae akikupa jibu la swali lako kwakuwa akili zake ni kuu kuliko sisi unahisi utampinga tena?
 
Siku ukikutananae akikupa jibu la swali lako kwakuwa akili zake ni kuu kuliko sisi unahisi utampinga tena?
Nitamwambia nikosa lake kuwa na akili kuu hivyo halafu kujifichajificha tusimjue vizuri hata baada ya kuzozana sana.

Angetupa akili kubwa ya kumjua bila shaka tungemjua bila mzozo.

Hutakiwi kumnyima mtoto elimu ya kujua kusoma, halafu akikua hajui kusoma, umuadhibu kwa sababu hajui kusoma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…