Nitamwambia nikosa lake kuwa na akili kuu hivyo halafu kujifichajificha tusimjue vizuri hata baada ya kuzozana sana.
Angetupa akili kubwa ya kumjua bila shaka tungemjua bila mzozo.
Hutakiwi kumnyima mtoto elimu ya kujua kusoma, halafu akikua hajui kusoma, umuadhibu kwa sababu hajui kusoma!