Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

Mwanzoni nilikuona uko unbiased lakin kumbe upo kishabiki
 
Hilo jina laketu yani SIMI aisee lazima akipanda stejini kiwake.
Mashabiki wote akili zao nikwa SIMI. Hapana chezea SIMI
 
vipi bado unataka masanamu ya wekwe?
 
Diiih 😂😂😂 labda sanamu la Michelin😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…