Sanch amekanusha...

Asante
 
Hilo tako halina ata mvuto, bs tu nashangaa wanaume wameweweseka vibaya mno hapa jf sijui kwnn...

Kila nakopita stry ndo hiyo tu khaa..tako liwe la wastani ndo lavutia, likizd zaid ya apo huwa ni kero
Weweeeeee embu tulia huko Sanchi hana kitambi mtoto 8 figure
 
Tako ninalo tena halisia kbs sio la madawa ya kichina, na linavutia haswa lkn Sijaona umuhimu wake wa kulipenda.

Unfkr mie kuponda apo ndo sina, ni nalo ndiyo mana nimeongea [emoji3]

Changamoto hizi

Hongera sana binti kwa kujiamini.
 
Sawa bana Pujo nimekuelewa. Tunapenda ivo ivo sijui kwanin si unajua hata embe kinachokuvutia kuhisi ni tamu ni ule unjano wa maganda ambayo mwisho wa siku hata hauyali..
 
Sijaona uzuri mie
Siyo kazi yako kuuona huo uzuri. Ukiona size yako haijadiliwi just kuwa mpole tu, labda wenye size zao wakienda kulala huenda na wewe ukajadiliwa kama utakuwepo around lakini.
 
Mimi sina hata shida ya hiyo video naomba elimu CGI ni nini?
 
Hahahahah hata Amber Rutty mwanzoni alikanusha,mwambieni arelax atuletee nyingine
 
Wakuu tuacheni utani huu ni ugonjwa,hio miguu imezidi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…