Sanch amekanusha...

Sanch amekanusha...

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haya, endeleeni kupenda...mn kuna msemo unasema " kipendacho roho ula nyama mbichi"
Kumbe unajua kua kila mtu hupenda akitakacho,sasa ulikua unabwabwaja nini? Acha wivu kama umekauka kula balanced diet upate kamwili kidogo ili upunguze wivu,

Ieleweke kua sishabikii mwanamke kuonyesha maungo yake kwenye social media au popote pale.
 
Siyo kazi yako kuuona huo uzuri. Ukiona size yako haijadiliwi just kuwa mpole tu, labda wenye size zao wakienda kulala huenda na wewe ukajadiliwa kama utakuwepo around lakini.
[emoji3][emoji3][emoji3] htry kweli kweli
 
Nadhani hukuelewa nilichomaanisha, alafu sikuwa naongea na ww...mbn mtt wa kiume afu unadandia gari kwa mbele? [emoji3][emoji3]....sipnd mazoea na ww...fuata yako bro.
Hukua unaongea na mimi? ulikua unaongea na nani?
umesahau kua JF ni free forums,ukisha weka comment yako hapa basi inakua sio yako tena na kila mtu yupo huru kuichangia,

Inaonekana uwezo wako wa kufikiri na uelewa wako ni mdogo sana,Pole sana flat screen,naona hii thd imekua ni mwiba kwako,kujichekesha chekesha kwako hovyo hakutokusaidia lolote,punguza tu chuki yako iliyochanganyikana na wivu kwa wenzako waliojaaliwa makalio.
 
Kwa hiyo anasambaza tu?

Mungu akampa maisha marefu......

Atatepeta hiyo minyama ngozi ya mbwa mzee au ng'ombe mzoofu atakuwa na nafuu

Atatepeta hatafaa kwa chochote na kwa vyovyote

Mungu atuepushe hiyo adha
 
Tako ninalo tena halisia kbs sio la madawa ya kichina, na linavutia haswa lkn Sijaona umuhimu wake wa kulipenda.

Unfkr mie kuponda apo ndo sina, ni nalo ndiyo mana nimeongea [emoji3]
Unajibabadua tu.....
wanawake wenye ma.tako hawasemi
tunayaona kimya kimya huku kitaa
 
Yawezekana kweli ikawa fake sio yeye. baada ya kumaliza ukaguzi nimekuja majibu hayo. ila bado nipo 50 50.

Ila lile Tako DAh!!!!!!!!!!!
 
CGI ni nini mkuu?
ni yeye, bongo hamna mtu anaweza fanya CGI , kwanza kufanya cgi kwa dakika ni ela ndefu kichizi, sa mtu atumie ela zote izo alafu aje azivujishe ili nini sasa, mtu angefanya ivo lazima angem black mail uyo manzi, so yule ni sanchi atutolee ujinga na likyuma lake lichafu na ute ka kamasi
 
Back
Top Bottom