Hiyo ni biashara,kupotea au kutopotea wao ndio wanajua,sasa wewe ukisema wamepotea mimi cjui may be unandugu katika board ya united.mimi kama shabiki wa manchester am very happy kwa ujio wake.kwa hiyo unakubaliana na mimi kwamba wamiliki wa timu kwenye usajili wa sanchez wamepotea?
nawajua vizuri nyie mashabiki wa manchester sifa yenu kuu kuongea sana na uvumilvu zero sasa, mda si mrefu mtaanza kumtukana kifupi sanchezi kapotea kwenda man u na man u wamepotea kumnunua sanchezHiyo ni biashara,kupotea au kutopotea wao ndio wanajua,sasa wewe ukisema wamepotea mimi cjui may be unandugu katika board ya united.mimi kama shabiki wa manchester am very happy kwa ujio wake.
aaaah aaaah aisee mie hayawezi kunikuta ila nieleweke simuombei mabaya sanchez ila naona kabisa itakuwa ngumu sana kwake kuwika old trafford bora angebak arsenalUtabiri wako unanikumbusha MTABIRI mmoja miaka ya 1985 hadi 1995 JAMAA aliitwa KAJURA,,, alikuwa anatabiri sn NYOTA ZETU KWENYE gazeti LA MFANYAKAZI,,, alikuwa akitabiri pia mechi kubwa za SIMBA NA YANGA,,, alinusurika KUCHOMEWA nyumba NA OFISI yake baada ya kutabiri YANGA anamfunga SIMBA tena goli nyingi tu,na kubeba UBINGWA,,na simba ANASHUKA DARAJA,, mwisho wa mpira YANGA ANAFUNGWA na kuukosa UBINGWA... watu walishaandaa KARAMU YA WALI,,, FULANA,,, NGOMA YA MDUNDIKO YA KUONDOKA NA KOMBE,,, MWISHO wa SIKU YANGA KAFA,,,, alikuwa na wakati mgumu sn...kwa hyo mkuu ANGALIA yasikukute ya KAJURA na huo utabiri wako kwa SANCHEZ..
Utabiri wako unanikumbusha MTABIRI mmoja miaka ya 1985 hadi 1995 JAMAA aliitwa KAJURA,,, alikuwa anatabiri sn NYOTA ZETU KWENYE gazeti LA MFANYAKAZI,,, alikuwa akitabiri pia mechi kubwa za SIMBA NA YANGA,,, alinusurika KUCHOMEWA nyumba NA OFISI yake baada ya kutabiri YANGA anamfunga SIMBA tena goli nyingi tu,na kubeba UBINGWA,,na simba ANASHUKA DARAJA,, mwisho wa mpira YANGA ANAFUNGWA na kuukosa UBINGWA... watu walishaandaa KARAMU YA WALI,,, FULANA,,, NGOMA YA MDUNDIKO YA KUONDOKA NA KOMBE,,, MWISHO wa SIKU YANGA KAFA,,,, alikuwa na wakati mgumu sn...kwa hyo mkuu ANGALIA yasikukute ya KAJURA na huo utabiri wako kwa SANCHEZ..
Tushamuuza mkuuVipi mjadala wa Kajura uendelee au?