Sanchezi atachemsha Manchester UTD

Sanchezi atachemsha Manchester UTD

Mashabiki wa aseno wa kuwahurumia,sanchez juzi katoa assist mbili za magoli murua leo unamwona garasa uliza huko timu yao ya Chile pia
Shabiki yeyote wa arsenal anae mponda sunchez hayuko sawa wenda syo Shabiki wa kwel wa arsenal kuna mchezej gan wa aliyekuwa akijituma uwanjan kama sunchez?
 
Mleta uzi mara ya mwisho umepima malaria lini? Maana ni ugonjwa hatari sana ukipanda kichwani
 
Arsenal tunaendeleza kuwauzia Bunduki Maadui..... Ila uzuri ni kwamba tumevunja akaunt kwa Michi na Auba, watafit tu hawa watu wakilishwa na Ozil
 
Toa sababu Technical za kimpira kwanini atachemsha sasa hapo mbona hayo ni majungu tupu
 
Mleta uzi mara ya mwisho umepima malaria lini? Maana ni ugonjwa hatari sana ukipanda kichwani
mie ni mtu wa mazoezi aisee sio tu malaria sikumbuki mara ya mwisho niliumwa mwaka gani!! thanks to Almighty!

hivyo kama malaria labda utakuwa nayo na hao wenzio mazwazwa
 
Arsenal tunaendeleza kuwauzia Bunduki Maadui..... Ila uzuri ni kwamba tumevunja akaunt kwa Michi na Auba, watafit tu hawa watu wakilishwa na Ozil
haa mkuu usiogope nimegundua wenger ana akili kuliko mourinho

sanchezi man u hatowika kama van persie

afu mzee wenger wachezaji hawa wakimkimbia ni kama anawapa laana kama watawika ni msimu mmoja tu

hivi wakati nasri anaondoka arsenal kulikuwa na midfilder mkali zaidi yake???
achilia mbali huyu sanchenza ambae zamani ashatoka kwenye mipango ya wenger
 
Toa sababu Technical za kimpira kwanini atachemsha sasa hapo mbona hayo ni majungu tupu
mkuu unataka technic gani wakati mmchechukua kiazi??
labda nikupe technic za kupaki basi
 
Kwan akichemsha kuna jipya gan?wamechemsha akina diego forlan wakiwa na kocha bora kbsa kuwai kutokea(sir alex) ndo itakuwa sanchez kwa morinho?
 
hakuna point hapa ila naona ushabiki tu.!
Huyo ni mmoja kati ya wanazi wa Arsenal wanaoweweseka kuondoka kwa Sanchez
Kwan akichemsha kuna jipya gan?wamechemsha akina diego forlan wakiwa na kocha bora kbsa kuwai kutokea(sir alex) ndo itakuwa sanchez kwa morinho?
mbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀

huu mchezo hauitaji hasira

tatizo mna pupa mnalipa sanchez pesa nyingi ili muharibu asiende man city kumbe mchezaji mwenyewe kichomi
 
mbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀

huu mchezo hauitaji hasira

tatizo mna pupa mnalipa sanchez pesa nyingi ili muharibu asiende man city kumbe mchezaji mwenyewe kichomi
Mashabiki wa Arsenal hamuwezi kuipenda Man u kamwe kwani zile goli nane bado zinawatesa rohoni.
 
Mashabiki wa Arsenal hamuwezi kuipenda Man u kamwe kwani zile goli nane bado zinawatesa rohoni.
hizo zilipendwa wewe kumbe mnazimis eee enzi za ferguson???
Wenger-v2.jpg
 
mbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀

huu mchezo hauitaji hasira

tatizo mna pupa mnalipa sanchez pesa nyingi ili muharibu asiende man city kumbe mchezaji mwenyewe kichomi
Kaka sisi ni mashabiki tu,kuhusu ela wala hatuusiki ata wamlipe kiasi gan hyo ni juu yao wamiliki wa timu
 
Back
Top Bottom