Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki yeyote wa arsenal anae mponda sunchez hayuko sawa wenda syo Shabiki wa kwel wa arsenal kuna mchezej gan wa aliyekuwa akijituma uwanjan kama sunchez?Mashabiki wa aseno wa kuwahurumia,sanchez juzi katoa assist mbili za magoli murua leo unamwona garasa uliza huko timu yao ya Chile pia
Simu hizi big unamahaba NA mpira mpira wa Leo boss ni ufundi tundo umeandika nini hapa???
mpira hujui hadi kiswahili pia hujua hopeless
mie ni mtu wa mazoezi aisee sio tu malaria sikumbuki mara ya mwisho niliumwa mwaka gani!! thanks to Almighty!Mleta uzi mara ya mwisho umepima malaria lini? Maana ni ugonjwa hatari sana ukipanda kichwani
haa mkuu usiogope nimegundua wenger ana akili kuliko mourinhoArsenal tunaendeleza kuwauzia Bunduki Maadui..... Ila uzuri ni kwamba tumevunja akaunt kwa Michi na Auba, watafit tu hawa watu wakilishwa na Ozil
Huyo ni mmoja kati ya wanazi wa Arsenal wanaoweweseka kuondoka kwa SanchezTatizo mleta uzi ameingiza ushabiki.Hakutarajia kumuona Sanchez akihama Arsenal.
hakuna point hapa ila naona ushabiki tu.!
Huyo ni mmoja kati ya wanazi wa Arsenal wanaoweweseka kuondoka kwa Sanchez
mbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀Kwan akichemsha kuna jipya gan?wamechemsha akina diego forlan wakiwa na kocha bora kbsa kuwai kutokea(sir alex) ndo itakuwa sanchez kwa morinho?
Assist ngapi?Hujui maana ya assist.Mashabiki wa aseno wa kuwahurumia,sanchez juzi katoa assist mbili za magoli murua leo unamwona garasa uliza huko timu yao ya Chile pia
Mashabiki wa Arsenal hamuwezi kuipenda Man u kamwe kwani zile goli nane bado zinawatesa rohoni.mbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀
huu mchezo hauitaji hasira
tatizo mna pupa mnalipa sanchez pesa nyingi ili muharibu asiende man city kumbe mchezaji mwenyewe kichomi
Kaka sisi ni mashabiki tu,kuhusu ela wala hatuusiki ata wamlipe kiasi gan hyo ni juu yao wamiliki wa timumbona kama mmepanic hivi?😀😀😀😀😀😀
huu mchezo hauitaji hasira
tatizo mna pupa mnalipa sanchez pesa nyingi ili muharibu asiende man city kumbe mchezaji mwenyewe kichomi