Sanchi: Najutia Uzee Wangu na mitandao

Sanchi: Najutia Uzee Wangu na mitandao

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
BQkrHYCgiLN.jpg
BXbBSNJgafr.jpg


Model ambaye mara nyingi anapenda kuacha wazi sehemu kubwa ya mwili, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa anajutia akifikisha umri wa miaka 50 hajui maisha yake yatakuwaje.

Sanchi aliiambia Star Mix kuwa, mara nyingi watu wanaposti vitu mitandaoni, lakini wanasahau kuna uzee mbeleni hivyo vitu hivyo vitakuja kuleta shida hata kwa wajukuu. “Unajua hata mimi naweka picha mbalimbali, lakini kila nikikumbuka kuna uzee, ninaishiwa pozi kwa sababu watu wengi wanajisahau kuwa kuna kuzeeka, lakini kiukweli mimi uzee unanikosesha amani kabisa,” alisema Sanchi
 
Ndo uyo alisema mahali anayoiitaji milioni 10....?

show off ya dunia nzima
 
Back
Top Bottom