Sanchoka alipwa $10,000 Kigali. Kafanya show gani jamani?

Katoka kuonesha matako kwa pk
 
Mpenda matuta leta hamira uyaongezee yawe km ya Sancho, ninayo ya kukalia mkuu sio ya kuniingiza midolali[emoji12] [emoji12] [emoji12]
....now you're talking!
.,ooooppsss,mpaka nimeongea kidhungu leo!
.nakuja wallah,nikukute Pale Mtini!
 
kwa akili za kimakinikia naomba niseme hivi:
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
kodi yetu...TRA ikiwa kama mamlaka husika inayohukia na masuala ya kodi nadhani itampigia mahesabu yake anayopaswa kulipa...asidhani wenye mamlaka hawajui "biashara" anayofanya au bidhaa anayouza.[emoji23]
 


Heew! Nishike na mikono yangu? Halafu ndio nilipe hela? Labda nivae gloves halafu nilipwe mimi.
 
kazi yake mbona inajulikana mkuu
 
Nakumbuka alisema mahari yake millioni 10. Sasa naelewa kazi yake kumbe kulipwa mahari.. Sasa hapo atakuwa kalipwa mahari mara mbili hapo
 
Uje na faini kabisa, nakusubiri ole wako unichomeshe mahindi
....usiwaze!
...hiyo faini kabla hata hujasema,nilishajiongeza.
..sasa maliza kukarangiza kabisa nakuja na fuso la hamira,
. nawe uwe na big big ass-et!
 
Mkxndx ule unaliwa bana.. Ajitahidi maana network ya tigo itakata akianza kuchoka tu ndio basi.. @ 45 yrs old that is maximum kama atakuwa na soko bado..
 
Fedha ya Rwanda ina thamani mara tatu ya fedha ya bongo, yani ukiwa na 21m za tz ni sawa na 7m kwa pesa ya Rwanda. Sishangai huyo kulipwa 22m maana kwao ni kama 7m flani, plus vijana Kigali wanajua spend mbaya, yani night life ya Kigali sio ya kitoto na sehemu nyingi ni expensive hatari.
 
Wakuu nataka nipeleke posa kwa kina Wema. Kampani yenu inahitajika sana
 
Mtoto amekaa uzuri sana huyu kuliwa
 

Attachments

  • Screenshot_2017-09-29-05-15-48.png
    188 KB · Views: 77
Huduma ya choo inalipa
 
Hahaha! Mkuu unachosema ni sahihi. Labda tuassume aliwithdrawal.

Ila tujiulize fani yake ni nini hasa? Mwanamziki, muuza papa au?

Ali-withdraw kutoka account ya $?

Kwa nini hakufanya straight conversion kwenye TZS huko huko bank?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…