Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh! Nimecheka hapo juu sio kwamba nimekubaliana na upuuzi wa anachokionyesha.Ali-withdraw kutoka account ya $?
Kwa nini hakufanya straight conversion kwenye TZS huko huko bank?
Eeh! Nimecheka hapo juu sio kwamba nimekubaliana na upuuzi wa anachokionyesha.
Ila kama ni zake kweli nna wasiwasi na legality ya pesa yake maana ingekuwa clean money hasingeibeba cash ila pia kiusalama anachofanya si sahihi saa hivi mjini hali mbaya atasababisha watu wamvamie bure
Yeah! Unachosema ndiyo ninachohisi mie ili wateja wake wakimfuata wamtangazie dau zuriI can bet my December Salary kwamba hiyo ni hela ya show off tu, hana umiliki wowote wa hiyo hela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mieee, a a aHizo pesa ndo zimekwangua rangi wakat wa kuhesabu