Sanchoka alipwa $10,000 Kigali. Kafanya show gani jamani?

Ali-withdraw kutoka account ya $?

Kwa nini hakufanya straight conversion kwenye TZS huko huko bank?
Eeh! Nimecheka hapo juu sio kwamba nimekubaliana na upuuzi wa anachokionyesha.

Ila kama ni zake kweli nna wasiwasi na legality ya pesa yake maana ingekuwa clean money hasingeibeba cash ila pia kiusalama anachofanya si sahihi saa hivi mjini hali mbaya atasababisha watu wamvamie bure
 

I can bet my December Salary kwamba hiyo ni hela ya show off tu, hana umiliki wowote wa hiyo hela.
 
Huyu bint maarufu nje ya nchi kuliko ndani. Mitandao ya Nigeria inamzungumzia sana.
 
Mkuuu hta utapeli nao ni fani usishangae ya sanchoka
 
Lazima tigo yake itakuwa imebomolewa kiasi cha kutosha

kama sio kutisha
 
mwache adengue tu hata bibi alikuwa kama yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…