Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzazi