Ze last Born
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 1,770
- 3,867
CHAPUTA ama??[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Mmeniongezea picha za kwenye chama
Mara nyingi wanawake wa hv hawaolewi
Hawa ndio wazazi wa kidigital, wanaruhusu ujinga huu wa watoto wao kupiga picha za uchi na unaweza ukakuta ana kiserengeti boy kina mkamua na yy.
Like mother like daughter!Mtoto wa nyoka ni nyoka
Mama chura,mtoto chura
Mama kafeli huyo, lkn angetimiza wajibu wake asingefikia huku, hapa mtaani Kuna watoto wawili baba mwarabu, mama muhehe wana mizigo ya haja, wanatabia nzuri na wote wapo kwenye ndoa.mkuu Sancho ni mkongwe huwezi kumdhibiti tena, omba yasikukute kama mzazi
Mzee wa vyura bilashaka huyu atapigiwa puchu etii..[emoji23][emoji23][emoji23]Amepata chura kutoka kwa Mama!
Je anafanana na yule demu wako aliyekurema mlipokuwa chuo baadaye mambo yako yakawa freshi akakutafuta amechokaa?sijui nimeingiaje humu?
Unashangaa nini weweeaaah
Hivi Mwanamke kama huyo huwa mnafanya naye nini? I mean, unawezaje kusex na mtu kama huyo?
Huyo ni mgonjwa!
Atakuwa wa huko Ushirombo mh mjumbe[emoji3][emoji3][emoji3]Huyu kwanini ni disii wa wapi...!!??
CHUMA HULIWA NA KUTU....Mama ake ana mume?