Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,790
- 3,263
Kimyakimya mkuu. Ukianza kunitag hiyi haitakuwa kimyakimya tena..!Hujajamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimyakimya mkuu. Ukianza kunitag hiyi haitakuwa kimyakimya tena..!Hujajamba?
Jichange broWanafanana kama mayai!
Yah ni fursa ya kucheza miguu miwili kama ronaldo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] god dammm son[emoji23][emoji23][emoji23]unataka kuwa baba mdogo nn?
Ulienda maZzishi?Unawajua wamama wa kichaga vizuri?
Mume kashafariki huyo
Mama kafeli huyo, lkn angetimiza wajibu wake asingefikia huku, hapa mtaani Kuna watoto wawili baba mwarabu, mama muhehe wana mizigo ya haja, wanatabia nzuri na wote wapo kwenye ndoa.
Aisee hadi Bujibuji umeibuka!! nadhani kiasi cha unga na maji vianaendana kwa kupika ugaliKweli "amelisi"
All in all, biashara matangazo.
Huu ujasiriamali was mwili ni hatari sana.
Mama hana mume, mtoto hana baba
Kuvuta Ganja na sigara ndo umeona amekosa malezi? Au unadhani USA sawa na gymkhana?Kweli kabisa Tena hakuna malezi magumu Kama kumlea mtoto was kike,. Obama mwenyewe kamshindwa mwanae wa kike anavuta ganja na sigara Kama kawa
Mhh ! Mimi misambwanda ndo ugonjwa wangu nikiuona ulivyotuna hivyo mate yananitoka na ulimi nje kama dogMkuu iwe range Rover, scania,yutong siti ya dereva ni ile ile na ndo chamuhimu
Usibabaike na hauzing hiyo