Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Mwanamke mwenye mwili mzuri lakini akiwa Hana akili sehemu zake za Siri hupata tabu sana
 
Hapo kweli amerithi kila kitu hata tabia , maana huyo mama naye anaonekana hazimo kabisa
 
Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzaziView attachment 908439View attachment 908442View attachment 908443View attachment 908444View attachment 908447
Namuomba Mungu wanangu wasiwe na Mama kama huyu wa kupiga picha kuonyesha umbo lake😬 Hasara
 
Hivi aliyewaambia hawa viumbe kwamba makalio makubwa ni dili sana ni nani???
 
Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzaziView attachment 908439View attachment 908442View attachment 908443View attachment 908444View attachment 908447
Wanawake wa kichaga wote ni flat screen inch 50 ,ukiona ni Hitachi chogo basi jua hiyo ni Made in China
 
Yani Dah Sanchoka ananimaliza aisee !!!!!!

Tako la kukatiwa bima kabisa
 
Back
Top Bottom