Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka anasema" watu wanatumia picha zangu kwenye kutangaza dawa zao za kuongeza makalio wakati Mimi sijawahi hata siku moja kutumia, umbo langu nimelisi kutokana kwa mama yangu na namshukuru kwa Hilo".
Sanchoka amemalizia kwa kusema watu wasimkulie poa kwani umuhimu was nyumba siku zote no choo.
Picha sanchoka akiwa na mama yake mzaziView attachment 908439View attachment 908442View attachment 908443View attachment 908444View attachment 908447
Duh huyu mama yake mbona sasa tako limekuwa kama kistuli. Unaweza weka ulabu hapo huku unaangalia mpira.
Kwa hili jimama niko tayari kuwa kaserengeti boy kake. Nitakamua huo mzigo mpaka supu ya kwenye mifupa.
 
Naona na yeye ka launch video akiwa na bikini tu ,mtoto ana makusudi huyu
Madem chip sana Hawa.....
Ktk pilikapilika za kupiga tungi niliendaga kwenye grocery ya Shangazi Ezekiel iko hpo mwananyamala....siku hyo tulipoenda Kufika tumekaa hakukuwa na huduma dada alitoka kwenda nunua tishu akabaki Shangazi Ezekiel tu Wanywaji kama unavyotujua tuna midomo tukamwambia sisi hatujaja kuuza sura tunataka vyombo kama yeye yupo atuhudumie asijefanye star[emoji23] hapo tz sweetest pembeni yupo naye
Baada ya kuongea makavu akatuhudumia
Mara paap kuna lijamaa limoja akawa anasema na tz swrthrt anataka kwenda kujirusha naye.....jamaa mida fulani alichomoka na tz swrthrt,jamaa alimpa 1m
Akamngata
Ndomana nasema Hawa madem wko kama wanajiuza tu na ni cheap product nguvu yko tu

Ova
 
Halafu huwa najishamgaaga sijui kwa nini mi si muumini wa haya makitu[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Back
Top Bottom