Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

.....
IMG-20181025-WA0059.jpg
IMG-20181025-WA0060.jpg
 
Madem chip sana Hawa.....
Ktk pilikapilika za kupiga tungi niliendaga kwenye grocery ya Shangazi Ezekiel iko hpo mwananyamala....siku hyo tulipoenda Kufika tumekaa hakukuwa na huduma dada alitoka kwenda nunua tishu akabaki Shangazi Ezekiel tu Wanywaji kama unavyotujua tuna midomo tukamwambia sisi hatujaja kuuza sura tunataka vyombo kama yeye yupo atuhudumie asijefanye star[emoji23] hapo tz sweetest pembeni yupo naye
Baada ya kuongea makavu akatuhudumia
Mara paap kuna lijamaa limoja akawa anasema na tz swrthrt anataka kwenda kujirusha naye.....jamaa mida fulani alichomoka na tz swrthrt,jamaa alimpa 1m
Akamngata
Ndomana nasema Hawa madem wko kama wanajiuza tu na ni cheap product nguvu yko tu

Ova
Kama pesa inaweza kuhamisha mlima,kwa nini ishindwe kupata zigo?
 
Back
Top Bottom