Sanchoka kiboko ya Vera Sidika

Wanawakilisha nchi VIBAYA kweli!
BADALA watumie fursa kutuletea wataliii!
PSYUUUU
 
Wanawakilisha nchi VIBAYA kweli!
BADALA watumie fursa kutuletea wataliii!
PSYUUUU
yaniii
halafu bongo tunawakikisha sana..
ila hawajielewi
Tunakosa malaya wa kujivunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sasa nipanic nini? usiashumu vitu ambavyo havipo

naanzaje kupanic sasa
nmewaelezea tu! kwamba huyo dada hawapati akina vera hata apige msamba

tofautisha maelezo na panic
Vipi agness nae ana nini ?anamfikia hata Huda
 
yaniii
halafu bongo tunawakikisha sana..
ila hawajielewi
Tunakosa malaya wa kujivunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HAKYAMAMA HATUNA MALAYA WA KUJIVUNIA KABISA!
tunawapa kiki weee tunawafollow ila wapiiii hajajiongeziii
kazi kupiga picha wamekali mabomba na kucheza video na kuimba kwenye magari basi!
SIJUI WAKOJE!
tunajitahidi wenyewe na ni vizu kweli!ILA YAPO TU KUTUPIGIA PICHA NGOZI!
 
Pigeni kelele weee lakini huyu chura si wa kubeza!
 
Yana mwisho wake hayo makalio
Hapana mkuu makalio unaenda nayo kaburini ila sura ndio inakwisha kabisa hta uwe mrembo vipi age ikipanda unakuwa orangutani tu lakini makalio lazina watu watasema huyu bibi kafungasha!
 
Wauza uchi wa kimataifa, hamna cha umodo wala nini
Vera anapiga dola 6 kuhost show nje bara la Africa!Alifanya surgery ya matiti kwa gharama ya dola 30,000 au mil 60 na ushee za kibongo
 
Hapana mkuu makalio unaenda nayo kaburini ila sura ndio inakwisha kabisa hta uwe mrembo vipi age ikipanda unakuwa orangutani tu lakini makalio lazina watu watasema huyu bibi kafungasha!

heheh we utakua unawatolea udenda hadi wabibi wa watu, nimekushindwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…