Sanchoka kiboko ya Vera Sidika

Sanchoka kiboko ya Vera Sidika

Sanchoka azidi kubreak internet kwa kutupia vitu hivi mtandaoni. Katawala kote kitu ambacho kimefanya yeye kuwa gumzo na kuwafunika wote Vera Sidika na Huddah Monroe. Sasa hivi anafanya kazi zake South Africa na Nigeria yaani Tanzania ananusa tu.

Yupo kibiashara zaidi mara model, mara anatwerk, mara picha za utupu mtandaoni!

Wazungu wanasema "Sanchoka gluteus maximus is positively bigger than Risper Faith and Vera Siidka’s combined and possibly every man in East Africa knows her; her name is Sanchoka a model from Tanzania whose behind is why booty songs are made."


Video:
Mwanadada Vera:
View attachment 484218
View attachment 484217

View attachment 484219
View attachment 484220


Sijaona cha ajabu cha ziada kihivyoo labda umbili kimo wake tu!.6
 
Huyu demu nakumbuka nilimtangulia 2yr wakati tunasoma pale ifm na tuliishi wote pale nbc club hostels. Nimoja ya mfano wa beauty with no,brains. I aint sure kama aligraduate n if she did bas ni lower than lower second. All in all,am glad she's found where she fits in this world. Atumike for years then akishtuka dunia sio njema sana it would be too late. Maadili siku hizi ni theoretical concept kwa hivi vi binti vyetu vinavyochipukia
Nimependa post yako.....!

Kwa huyo akili zilikuwa zinafikiria dushe tuu.......!
 
Sasa huo urembo wake unathamani gani kwa waliotimia ifahamu!Swaga hizo ni za sehemu maalumu na mtu maalumu.
 
Mwanamke akikosa akili hutesa viungo vyake vya siri
Ishu ya akili ameishaivuka Sababu amemaliza chuo.Alichokisoma chuo hakijamsaidia lakini kitu anachokifanya sasa kiko nje ya maadili yetu lkn sio kukosa akili.Anatumia fursa aliyonayo kutoka.Ni fani inayowatajirisha wasichana wengi ktk nchi nyingine zilizoendelea lkn ni fani iliyo nje ya maadili yetu.Wanawake wenye miili ya aina ya sanchoke huzaa watoto wenye upeo mkubwa wa kiakili.
 
Ok tumeona matako tutupie na mali zao sasa tulinganishe
 
Back
Top Bottom