Sanchoka kiboko ya Vera Sidika

Sijaona cha ajabu cha ziada kihivyoo labda umbili kimo wake tu!.6
 
Nimependa post yako.....!

Kwa huyo akili zilikuwa zinafikiria dushe tuu.......!
 
Sasa huo urembo wake unathamani gani kwa waliotimia ifahamu!Swaga hizo ni za sehemu maalumu na mtu maalumu.
 
Mwanamke akikosa akili hutesa viungo vyake vya siri
Ishu ya akili ameishaivuka Sababu amemaliza chuo.Alichokisoma chuo hakijamsaidia lakini kitu anachokifanya sasa kiko nje ya maadili yetu lkn sio kukosa akili.Anatumia fursa aliyonayo kutoka.Ni fani inayowatajirisha wasichana wengi ktk nchi nyingine zilizoendelea lkn ni fani iliyo nje ya maadili yetu.Wanawake wenye miili ya aina ya sanchoke huzaa watoto wenye upeo mkubwa wa kiakili.
 
It looks like STINKY situation.
 
Ok tumeona matako tutupie na mali zao sasa tulinganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…