MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Mashabiki wa Sanchoka wamewajia juu waandaaji wa shindano la miss bam bam 2018 baada ya mlimbwende binti Salim kuchukua taji la mrembo mwenye umbo la kibantu zaidi huku Sanchoka akishika namba 2 kwa tofauti ya kura 2311, Instagram ni moto juu ya moto mida hii,yaani hakukaliki. Je Sanchoka atatudi nafasi yake 2019.?