Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo.

Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na bad energy, basi itakuwa maximized.

Mimi binafsi nasikiaga watu huwa wanasema wenza wao wakati wa full moon wanacharuka mbaya sana bila maelezo.

So Sandhguru, anashauri kuwa kama unajua siku ya fullmoon, unaweza kuaamua siku hio kutengeneza good energy ndani yako huku ukimanifest kuwa ndio iwe hulka yako mara mara ili inapofika muda full moon usiku ikukute na hulka iliochanya na kuwa maximized ndani yako na maisha yako kiuju



View: https://youtu.be/ZW9R53MQ8lw?si=eRHBF5Owcv5Wcvc1
 
Back
Top Bottom