Sanduku la Agano ni ushindi kwa Taifa

Sanduku la Agano ni ushindi kwa Taifa

Nasi mpaka hapo,Yale Petro aliyoyasikia mlimani juu ya kujenga vibanda vitatu,Eliya,Musa na Yesu Kristo yameshakwisha kusemwa kwa Mwana wa Adamu aliyezoezwa kupambanua ya Sirini na Mungu wake aliyomtuma kwetu(wakina-Petro baada ya jogoo kuwika majira yote Ni vile vile).

N:B Movement in Space and time is Elohim Jivah.
Mungu ni mmoja,
mjumbe ni katika mabonde na miinuko

Nimemtuma njiwa, kwenu Alete salamu .
Hmmm
'Matrix' ni jambo lenye asili ya 'Kumbukumbu'...

Kwa hivyo hisia zako, kimuktadha akilifu wa uono na ufikirifu mifumo, ni sahihi...

Kumbukumbu ina 'unje' na 'undani'...

Matriksi, kiufundi, ni mambo ya metafo za 'Shetani' na 'Malaika' na 'Kujichagulia'...

Kwa hivyo 'Matriksi' katika sura na hadhi ya 'kumbukumbu utaasisi' ni mambo ya 'miongozo'...

Matriksi ni KUBU ya sura, hadhi na msimamo wa jamii kwa/katika 'mapana ya wakati/nyakati'...

Uhusiano wa KUBU na Mifumo ni mambo ya 'mafumbo ya imani'...

Inaweza kuwa ni mchanganyiko wa 'lugha za wanadamu' na 'lugha za malaika', kwa ajili ya miongozo ya 'maisha, kuishi na kheri ya ustawi' wa jamii kumbaizi kwa daraja na utukufu fulani -- daraja na utukufu wenye kukusudiwa kwa jamii, viongozi, sura ya nchi na tawala...

Kwa hivyo, kumbukumbu zote huja na 'KUBU'--Kiufundi, mambo ya Duara na Nukta--'Mwezi na Nyota', vivyo hivyo 'Msalaba'...

Mambo ya 'Ontolojia ya Taasisi'...

Hmmm


View: https://www.youtube.com/watch?v=AqGthp56KfM

Mapicha-picha…

NKNS...

'Mambo ya Nyakati' ni nuru na utukufu wa fahamu kumbaizi ya jamii na 'ma-jua ya ufahamu' katika mila, desturi na tamaduni yeyote kisomoni.

- Elohim Jivah--Miungu duniani katika Miili ya Kuja na kwenda... Mambo ya Supasha-Wakati, kng: Space-Time.

- Sanduku la Agano lililo ni Ushindi kwa Taifa ni mambo ya 'KUBU na Mifumo' katika 'mafumbo ya Imani'...

Kwa minajili ya haya mawili, Elohim Jivah ni habari za 'marejeo ya watu wa kabila Ndege'--watu wa 'mafumbo ya imani'.

Watu wa 'kabila ndege' walipata kusema kuwa 'watarejea'--kurejea kwao ni kwa ajili ya 'kuimalizia shughuli'; shughuli hii ni mambo ya 'Imani, Tumaini na Upendo' kwa vizazi--vizazi vya wanadamu.

Namna ya kurejea kwa 'watu wa kabila ndege' nayo yamekuwa ni habari za 'mafumbo ya imani'...

Mambo ya 'Mafumbo ya Imani' yanaweza 'kubanguliwa' ukweli wake kwa ELIMU 2.0 na ELIMU 3.0.

Elimu 2.0 ni 'Uono na Ufikirifu Mifumo' na ELIMU 3.0 ni 'ILIMU ilivyo ni metafizikia ya Elimu'.

Elimu 1.0 ni mawanda yote ya maarifa yatokanayo na fahamu za mwili, kumbukumbu/uzoefu wa vina vya tafsiri vyenye ukomo -- mambo ya maarifa ya 'Kawaida' ambavyo mtu/mwanajamii ananasibika na 'kujua mambo kwa sehemu' kulingana na 'visomo' vya 'elimu dunia'.

Elimu dunia ndiyo basi yaweza kuwa si lolote bali jukwaa la maridhiano ya utambuzi na ufahamu kwa mambo ya jamii--kisura ya nchi, tawala na utukufu wake; elimu rasmi ni shughuli ya kutengeneza 'watawala' na 'watawaliwa' kufaa 'mifumo' ya hali, sifa na daraja la utamaduni na ustawi wake; wenye kuzungumza hili kwa ugha ya kiingereza wangalitaja kana 'Status Quo'...

'Statusi Kwou', ndiyo zao la taasisi, matendo yake na nyakati; ambavyo haya ndiyo hasa hufanya 'Mifumo' katika jamii. Jinsi shughuli ya elimu ilivyo--kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu, ni shughuli ya 'kuwatengeneza' watu kiakili ili wafae katika dunia ya 'wajanja'--Ujanja ni 'kuwahi'; halafu ndiyo 'kupata'... Aliyewahi ndiye 'muamuzi' wa mwenye kupata ama kukosa baada yake...

'Statusi Kwou', ndiyo zao la taasisi, matendo yake na nyakati; ambavyo haya ndiyo hasa hufanya 'Mifumo' katika jamii; Jinsi ya wenyekupata na wenyekukosa kudumu pamoja ni mambo ya utundu wa kuzitengeneza 'kawaida' na kuziuza kwa wanajamii. Wanajamii ndiyo wanaoridhia KUBU na Mifumo kwa hali zao--iwe ni kwa raha ama karaha wakati mmoja hata mwingine. Kwa mintarafu ya hili, kinachoweza kuibadilisha 'statusi kwou' ni namna ingine ya 'maarifa' na mbinu za kukadirisha haya maarifa--Uono na ufikirifu mifumo…​
====

SEHEMU YA KWANZA: MAJENZI YA KAYA NA NYUMBA
Marejeo na 'Siku zetu'
Hatma ya ‘Viriba vya Zamani’ na ‘Mvinyo Mpya’
Kujichagulia: Mashikizo kwa Shauku
Utaamuliko Jamii: Karata ya ‘Dume la Shupaza’ ilivyo ni Ufunguo wa ‘Mapiku’
Gari la UTU: ‘Safari ya Kiutamaduni’
Kutokea 13 na 33 ya Safari--Kumbukumbu la ‘Miongozo’
Uskani wa Safari: Studio ‘Utaamuliko Jamii’ na ‘Maendeleo’
Kitovu cha ‘Dira ya Maendeleo’ katika nasibu ya ‘Utaamuliko Jamii’
Msafiri Kafiri: Mwenda Tezi na Omo...
Marejeo Ngamani: Kujisukanya na kujikung’uta mavumbi
Kila Mtu anauchukua Mzigo wake yeye Mwenyewe
Isemwavyo’ Nira iliyo ni Nyepesi’
Mambo ya Mlimani: Muongozo kwa ajili ya Taamuli, Kazi na Ulinzi
Fimbo ya Musa: Miongozo kwa ajili ya ‘Udugu’ na ‘Haki’
Alama za Uchungaji: Muongozo wa Ulinzi na Malango ya UTU na Ustawi katika Kujichagulia
Mifumo na ‘Mafumbo ya Imani’ : Kukadirisha Jithada za UTU na Nyakati

SEHEMU YA PILI: FUNGUO ZA ‘MAARIFA YA KAZI’

Metafizikia ya Mifumo: SASA-NIA ilivyo ni kitovu cha Ufahamu Mkuu na Uweza
Shika Neno, Tenda Neno: Ualama na Matendo kwa Wanajamii
Ualama Taasisi: Ufunguo kwa Maagano ilivyo ni ‘Upepo’ na ‘Maji’ wa UTU
Amerika hata Tanzania: Marejeo ya Nia na Misingi ya Nchi na Tawala
Uzao wa Mzabibu na ‘Ndoto ya Ujamaa’ wa kweli
Nyota ya Utimilifu wa Miundo na Mageuzi
Jua la Maarifu​
 

Attachments

Back
Top Bottom