Kwa hali ya sasa masanduku ya kutolea maoni yapo kwenye ofisi husika jambo ambalo maoni kama yanamuhusu mhusika anaefungua halifanyiwi kazi au kupotezewa au wakati mwingine kuto kufwatiliwa kwa sanduku lile kabisa.
Jambo ambalo na pendekeza kufanyika ni kutengenezwe page online ambayo itamruhusu mtumiaji kuingia atachagua taasisi ambayo anataka kutoa maoni au malalamiko yake.
Mfano akiingia itakua na kuchagua jina la mkoa, Wilaya, Kijiji au kata. Taasisi/ mamlaka anayo tolea maoni. Kisha uwanja wa kutoa maelezo kwa kina yani maoni au malalamiko na yakaenda moja kwa moja kwa mkuu wa taasisi au kitengo husika kwaajili ya kutatua kero au kuboresha kama mwananchi alivyowaandikia.
Hii itasaidia kwa wananchi wasio jua au kuweza kufika kwenye ofisi au kitengo husika kilipo. Na pia itasaidia sio mpaka kuitishwe mkutano ndiopo mwananchi atoe maoni yake angali swala linaweza kusikilizwa au kusomwa mapema na kero ikatatulika.

Upvote
2