Sangara waliokaangwa kutoka Ziwa Victoria

stanleyRuta

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
851
Reaction score
519
Salute wana Jf,
Wakuu nina biashara ya samaki waliokaangwa moja kwa moja kutoka ziwa victoria na kuja kuwauza hapa Dsm, nimefanya hvo kwa kuwa samaki wakikaa kwenye mafreezer kwa muda mrefu hupoteza ile radha yake haswaa,samaki wanakaangwa mara moja wakitolewa ziwani ili kuhakikisha radha yake inakuwa pale pale.Kwa sasa na supply maofisini kwa mtu mmoja mmoja, kwa anayehitaji naweza kumletea kiasi chochote atakacho hadi mahali alipo.Vile vile wakuu namhitaji mtu mwaminifu wa kuweza kunisaidia katika usambazaji.Kilo moja nauza Tsh 7000,Vile vile nakopesha mzigo kwa wale watakaohitaji mwingi na kufanya malipo in a weekly basis.
Ahsanteni

Mawasiliano yangu ni 0754729751
 
Mkuu nipo Dom nahitaji kufanya biashara ya samaki hao wa kukaanga je kilo utaniuzia kwa ngapi ili nami niuze?
 
Elfu sita kwa samaki wa kilo moja aliyekaangwa mkuu
 
Wanakaa muda gani bila kuharibika? Utunzaji wake vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…