M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Oct 30, 2022 #1 Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae. Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba. Hawq jamaa walijua kutafuta magoli. Waliujua mpira.
Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae. Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba. Hawq jamaa walijua kutafuta magoli. Waliujua mpira.