moyomacho
Senior Member
- Feb 5, 2020
- 138
- 103
Kati ya vitu vina chosha na stress mingi. Ni hivyo.
Nawa,nawa nawa Yan nikunawa mpaka basi, Sinitizer mpaka kero,
Mashart mengine magumu
Ni Kama
1. Usisalimiane kwa mkono.
2. Usichumu/ misichumiane/ msi kiss - hapo pagumu.
3. Ni marufuku kukumbatiana. Hapo napo patamu.
Maswali mengineyo yakujiuliza nikwamba
Kwa wasio na usafiri binafsi.
1. Bodaboda uliyo panda imeoshwa na sanitizer ?
2.Dalalala unayopanda sit unayokalia imekaliwa na kushikwa na watu wangapi?
3. Chenchi / chenji/ Cheng. Unazopokea unapo nunua vitu time shikwa na watu wangapi.
4 . Nyanya unayo nunua sokoni imeshikwa na watu wangapi? Je utaiosha na sanitizer?
N.k
Hayo Ni maswali binafsi
Kama unaswali lako tiririka hapo chini.
SWALI LA MSINGI
Kati ya sinitizer , maji tiririka na kufunga mipaka Ni kipi Kita punguza maambukizi kwa asilimia kubwa? Ikumbukwe mungu Ni wa kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app