Sanitizer vs kufunga mipaka vs maji tiririka n.k

Sanitizer vs kufunga mipaka vs maji tiririka n.k

moyomacho

Senior Member
Joined
Feb 5, 2020
Posts
138
Reaction score
103
Kati ya vitu vina chosha na stress mingi. Ni hivyo.

Nawa,nawa nawa Yan nikunawa mpaka basi, Sinitizer mpaka kero,

Mashart mengine magumu
Ni Kama
1. Usisalimiane kwa mkono.

2. Usichumu/ misichumiane/ msi kiss - hapo pagumu.

3. Ni marufuku kukumbatiana. Hapo napo patamu.

Maswali mengineyo yakujiuliza nikwamba
Kwa wasio na usafiri binafsi.

1. Bodaboda uliyo panda imeoshwa na sanitizer ?

2.Dalalala unayopanda sit unayokalia imekaliwa na kushikwa na watu wangapi?

3. Chenchi / chenji/ Cheng. Unazopokea unapo nunua vitu time shikwa na watu wangapi.

4 . Nyanya unayo nunua sokoni imeshikwa na watu wangapi? Je utaiosha na sanitizer?
N.k
Hayo Ni maswali binafsi

Kama unaswali lako tiririka hapo chini.

SWALI LA MSINGI

Kati ya sinitizer , maji tiririka na kufunga mipaka Ni kipi Kita punguza maambukizi kwa asilimia kubwa? Ikumbukwe mungu Ni wa kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kunawa mikono.
 
Tuzidi kumwomba Mungu atusaidie sana aisee! Maana huu ugonjwa ukija kufanya kazi kama unavyowafanyia wazungu, huku tutakwisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii si kwasababu ya corona tu. Nawa mikono;
👉🏾Unaprudi tu nyumbani kwako kutoka ulikotoka.
👉🏾Kabla ya kula kitu chochote
👉🏾Baada ya kutumia choo
👉🏾Kabla hujaanza kupika
👉🏾Baada ya kushika mifugo pamoja na mbwa na paka.

Katika mizunguko yako pesa inapitia mikono mingi sana. Afrika mizunguko mingi ya biashara hutegemea cash flow.
Public transport kila mtu anatumia.
 
Hii si kwasababu ya corona tu. Nawa mikono;
[emoji1485]Unaprudi tu nyumbani kwako kutoka ulikotoka.
[emoji1485]Kabla ya kula kitu chochote
[emoji1485]Baada ya kutumia choo
[emoji1485]Kabla hujaanza kupika
[emoji1485]Baada ya kushika mifugo pamoja na mbwa na paka.

Katika mizunguko yako pesa inapitia mikono mingi sana. Afrika mizunguko mingi ya biashara hutegemea cash flow.
Public transport kila mtu anatumia.
Hongera kwa comment nzuri. Inafaa kwa jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom