Santi Carzola kwenda Barcelona kutibiwa

Santi Carzola kwenda Barcelona kutibiwa

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
32,378
Reaction score
29,739
Mchezaji wa kiungo wa kutegemewa wa Arsenal Fc ya London ambaye kwa sasa anaandamwa na majeraha ya achilles anategemewa kwenda mjini barcelona - Cataluna kwenda muona daktari bingwa ili aweze kuhudumiwa na kupona haraka.

Source: Skysports (Sunday Mirror).
 
Aisee bora hatua za haraka zichukuliwe ili arudi haraka. Kuna mapungufu mengi yatokanayo na kukosekana kwake....
 
Back
Top Bottom