barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mchezaji wa kiungo wa kutegemewa wa Arsenal Fc ya London ambaye kwa sasa anaandamwa na majeraha ya achilles anategemewa kwenda mjini barcelona - Cataluna kwenda muona daktari bingwa ili aweze kuhudumiwa na kupona haraka.
Source: Skysports (Sunday Mirror).
Source: Skysports (Sunday Mirror).