Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
We lazima utakuwa Mtanzania maana wana majibu mepesi kwenye mambo mazito.Mechi ya jana sio kipaombele wameingia 16 ,hakuna shida
shida spain hawana sheria ya interm coach!......Walikosea kabisa kumpa timu Solari. Jamaa uwezo wake unonekana wazi kabisa ni mdogo. Kwanza timu anaieka chini sana mastriker anawasumbua sana.
still, madrid ni mbovu, sidhan kama atavuka 16Mechi ya jana sio kipaombele wameingia 16 ,hakuna shida
Kwa hyo unataka kusema hiko kikosi sio Real Madrid? Basi sawa hao ni Sofapaka FcKama ungeangalia kikosi cha jana basi utagundua kwamba timu ilikuwa tayari imeshafuzu kwahiyo ilikuwa lazima wachezaji wengine wapewe nafasi ya kuchezaView attachment 966929
sasa magalasa mliyasajili ya kazi gani ?Kama ungeangalia kikosi cha jana basi utagundua kwamba timu ilikuwa tayari imeshafuzu kwahiyo ilikuwa lazima wachezaji wengine wapewe nafasi ya kuchezaView attachment 966929
Kama ungeangalia kikosi cha jana basi utagundua kwamba timu ilikuwa tayari imeshafuzu kwahiyo ilikuwa lazima wachezaji wengine wapewe nafasi ya kuchezaView attachment 966929
Kwi! Kwi! Kwi!Kwa hyo unataka kusema hiko kikosi sio Real Madrid? Basi sawa hao ni Sofapaka Fc