Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwenendo wa timu ya Real Madrid unamaanisha kwamba muda wa kocha wake mpya unahesabika .
Hii timu haina utaratibu wa kuvumilia ujinga , kipigo cha leo cha 3 - 0 dhidi ya CSKA MOSKVA ni cha kuaibishwa sana , ukiangalia hata mabao waliyofungwa utagundua Real imekwisha , wachezaji wanapigwa chenga za hovyo utadhani ni timu ya Taifa Jang'ombe !