santos v barcelona

noana wameamua kuwatunzia heshima..
 
HT naona leo santos watafute pakwenda..
 
Invisible tuwekee our thread sticky jamani mbona tunawalalamikia kila siku yaani kuna special thread ya hotspur hapa imewekwa sticky wakati special thread ya barcelona inazagaa ni aibu sana mnacho kifanya ni unazi usiokuwa na maana wa timu za kiingereza moderator wa hii forum nafikiri ni barca hater ila naendelea kusema tunatawala soka la ulimwengu kwa sasa mkatae mkubali visca el barca barcelonaaaaaaa........
 
hii itakuwa final ya kwanza timu kufungwa tano na messi hat trick..
 
Pele uzee unamsumbua afe tu tumzike ili tusahau pumba zake. Big up FCB.
 
mbona hamueleweki na barce yanu? matokeo yakoje hadi sasa hivi? nani na nani wamefunga?. Mia
 

The best will always be the best. Waweke sticky or not, Barca is the best.
 
The best will always be the best. Waweke sticky or not, Barca is the best.

umenena vyema mkuu nilishawahi kumpm mkuu invisible kipindi cha final ya uefa champions league vs man u wakasikia kilio changu haikukaa muda mrefu wakaitoa, ningependa iendelee kuwepo juu ili wana jamiiforums wapya ambao ni barca fan nao waweze peana view zao humo, ila so longer wameamua hivyo poa... ILA IKUMBUKWE TU IT IS BARCA DOMINATION NOW KAMA ROMAN EMPIRE VILE .. VISCA EL BARCA...
 
Santos wamekoswa koswa bao la 4,

Hawa jamaa wanacheza mpira utadhani wanatumia uchawi!!
 

hayaa baba m PM eqpylz ai sticky..
 
Haya pele huyo neymar wako kazikwa wapi maana cmuoni uwanjani.
 
Ndetichia hapa umetudanganya. Ni Yokohama Inter.Stadium. Hili kombe wadhamini wakuu ni Toyota. Sijui Nissan wametoka wapi hapa

ingia hapa www.m.goal.com halafu uniambie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…