Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Invisible tuwekee our thread sticky jamani mbona tunawalalamikia kila siku yaani kuna special thread ya hotspur hapa imewekwa sticky wakati special thread ya barcelona inazagaa ni aibu sana mnacho kifanya ni unazi usiokuwa na maana wa timu za kiingereza moderator wa hii forum nafikiri ni barca hater ila naendelea kusema tunatawala soka la ulimwengu kwa sasa mkatae mkubali visca el barca barcelonaaaaaaa........
The best will always be the best. Waweke sticky or not, Barca is the best.
umenena vyema mkuu nilishawahi kumpm mkuu invisible kipindi cha final ya uefa champions league vs man u wakasikia kilio changu haikukaa muda mrefu wakaitoa, ningependa iendelee kuwepo juu ili wana jamiiforums wapya ambao ni barca fan nao waweze peana view zao humo, ila so longer wameamua hivyo poa... ILA IKUMBUKWE TU IT IS BARCA DOMINATION NOW KAMA ROMAN EMPIRE VILE .. VISCA EL BARCA...
Ndetichia hapa umetudanganya. Ni Yokohama Inter.Stadium. Hili kombe wadhamini wakuu ni Toyota. Sijui Nissan wametoka wapi hapauwanja nissan stadium japan.