Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
Hao nao pia huwa wanakosea kama wewe. Edit post yako ya kwanza. Uwanja ni Yokohama. Wadhamini wakuu wa haya mashindano miaka yote ni TOYOTAingia hapa www.m.goal.com halafu uniambie..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao nao pia huwa wanakosea kama wewe. Edit post yako ya kwanza. Uwanja ni Yokohama. Wadhamini wakuu wa haya mashindano miaka yote ni TOYOTAingia hapa www.m.goal.com halafu uniambie..
Mess now kabakiza tu World cup medal aweke rekodi mpya dunianiMessi kaondoka na awards 2!!
Mess now kabakiza tu World cup medal aweke rekodi mpya duniani
Dawa ya Barca ni Arsenal siku zote.
Wacha wewe Dawa ya Barca ni Juventus Pekee Hata wacheze Mechi mia Barca ni kufa tu ushahidi upoDawa ya Barca ni Arsenal siku zote.
[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TD]
Invisible tuwekee our thread sticky jamani mbona tunawalalamikia kila siku yaani kuna special thread ya hotspur hapa imewekwa sticky wakati special thread ya barcelona inazagaa ni aibu sana mnacho kifanya ni unazi usiokuwa na maana wa timu za kiingereza moderator wa hii forum nafikiri ni barca hater ila naendelea kusema tunatawala soka la ulimwengu kwa sasa mkatae mkubali visca el barca barcelonaaaaaaa........

pele anampamba sana dogo!kipindi kile alimpamba sana robinho wakati gaucho anaitikisa dunia katika usakataji kabumbu!kumbe hana lolote huyo robinho mweupe tu sasa mtaalam messi anaikonga dunia anataka kumfananisha na dogo wake neymar!hizi ni dhambi za kujitakia anazitafuta pele!....messi unataka kumtafutia mpinzani wa kandanda?asilete masihara mtu!huyp christina wa madrid mziki wa messi hauwezi sasa wanampamba neema wa santos!mtu mfupi mikosi!hakamatikiNaymar is overrated