Sarafu mpya yazinduliwa Kenya! Ipo sarafu ya shilingi moja

Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.
1000 = 22000. Jiongeze mwenyewe hapo
 
1544543538502.png
1544543556851.png
1544543594446.png

1544543623749.png
 
Hiyo 1 BOB inanunua nini hapo Nairobi? Hili swali nimejiuliza sana. Nauli ya daladala si chini ya 70 BOB. Chai ya bei ya chini ni 40 BOB tena hii labda uipate Muthurwa ama River Road [emoji3]

Anyway, ni mabadiliko mazuri tu. Hongereni majirani zetu.
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.

Kwa bongo hiyo ni 23,000 tshs
 
Hiyo 1 BOB inanunua nini hapo Nairobi? Hili swali nimejiuliza sana. Nauli ya daladala si chini ya 70 BOB. Chai ya bei ya chini ni 40 BOB tena hii labda uipate Muthurwa ama River Road [emoji3]

Anyway, ni mabadiliko mazuri tu. Hongereni majirani zetu.
can buy a sweet,chewing gum,pilipili moja etc,... and you will find many items costing 6, 7, 8, 12shs etc..so inasaidia sana
 
OK. I will be happy to use the coins next time I visit your city.
 
Jiwe atafyatua hivi karibuni kujibu mashambulizi ya Kenya bila kupima. Madhara
 
Hiyo 1 BOB inanunua nini hapo Nairobi? Hili swali nimejiuliza sana. Nauli ya daladala si chini ya 70 BOB. Chai ya bei ya chini ni 40 BOB tena hii labda uipate Muthurwa ama River Road [emoji3]

Anyway, ni mabadiliko mazuri tu. Hongereni majirani zetu.
Royco cube moja ni 2.5bob
Go most universities in Kenya, chapo ni 8 bob, Ugali 8 Bob, Wali 8bob, Nyama 34 Bob, Pilau 23 Bob. ( Taking out of experience especially UON)
Ukienda Supermarket vitu za +1 Bob ni mob sana, so shillings is very important to us.
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.

1000 x Tsh 22 = Tsh 22,000
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.
Sawa na shillingi elfu ishirini na tatu za kitanzania
 
Back
Top Bottom