Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu kunijuza, ila duh!! Kwa staili hii bila mabadiliko HATUFIKI!!1820 wakati huu!
haijafika huko !! Ni 1783.20 now!!1820 wakati huu!
haijafika huko !! Ni 1783.20 now!!
Thamani ya fedha ina mahusiano na ukuaji wa uchumi lakini sio kigezo pekee cha kupima ukuaji wa uchumi, fedha inaweza kushuka dhamani lakini uchumi usiwe umedondoka ,
Mfano ni japan...lakini hata wao yen imeanza kupanda thamani dhidi ya dola
Leo dola kwa bei ya BOT ilikuwa 1690. Kwanini commercial banks na beureal de change wanauza 1850? Do we need something like Ewura or Tcra to regulate them?