Ni inaonyesha tu umairi wa uumbaji kwamba kuna kila design ila hamna kazi ingine kabisa...Labada na mimi ntakuwa mshamba...Mm sijui ni ushamba au,maana sijui kazi ya wowowo
Mkuu UncleBen hao wa Insta wanafanya kwa hiyari yao,Sarah Baartman ilikuwa ni shurutiNaona unyanyasaji siku hizi umegeuka kuwa kitu cha kawaida tu ?? Japo huko Instagram wanawake hawawekwi kwenye Cages ila sehemu kubwa ya miili yao ni utupu tu
Asante Mkuu japo huo udhalilishaji ninao usema wa Instagram kiasi fulani wazungu wamekuja tu na advanced tool ya unyanyasaji badala ya kulazimishwa mtu anaweka tu mwenyewe ,Waafrika tunadharaulika sana ,wakati mwingine huwa namuuliza Mungu hivi siku ya hukumu kama kutakua na session ya maswali na majibu ,Mtu kama Sarah ama Otta wakimuuliza Mungu ni kwanini uliamua nipitie haya sijui atakuja na majibu gani ila naamini ni muweza wa yote na sipaswi kuwa na wasiwasi nae, Waafrika kwa sehemu kubwa nadhani tumeumbiwa mateso ,View attachment 331629 View attachment 331630 View attachment 331631
Mkuu UncleBen hao wa Insta wanafanya kwa hiyari yao,Sarah Baartman ilikuwa ni shuruti
Zaidi ya Sarah,kulikuwa na kijana anaitwa Otta Benga,huyu nilimsoma wakati nafanya masomo yangu ya "Cultural Anthropology" kuna kitu wanaita "Cultural Ethnocentrism"....huyu kijana walimchukuwa na kumuweka kwenye zoo na nyani na wazungu wakawa wanakuja kumtazama,dogo alikuwa na meno yamechongoka kitu kilichokuwa kinawashangaza wazungu,wengi wakawa wanakuja kumcheki Benga wakiamini kabisa kuwa muafrika hana tofauti na nyani.
Lakini sehemu nyingine wazungu walikuwa wanawachukuwa wanawake walio uchi na kuwaweka ktk maonesho kwa kiingilio sbb kuna wazungu walikuwa hawajawahi kuona mwanamke wa kiafrika anafananje akiwa uchi.Huwa nashangaa sana tunavyowaamini wazungu,mzungu hajawahi kumpenda wala kumthamini muafrika,ukiona mzungu anajifanya kukupenda ujuwe ana maslahi na ukaribu wenu.Ama hakika waafrika tunadharaulika sana
Kuna wakati nilipata kukaa na jamaa yangu aliyelelewa na wazungu wamisionari,jamaa mmoja msheshi,bright na mcha Mungu.Kuna wakati ulifika ilikuwa kipindi cha Kwaresma,akawa ananisimulia kuwa ye aliwahi kaa na wazungu,siku wakagundua jamaa anafunga Kwaresma...Jamaa walimshangaa sana,mpka wakamuuliza we unafunga ili iwe nini?Maana kwa ugumu wako tu wa maisha we kwako kila siku ni kwaresma..Yaani waliona maisha ya kila siku ya jamaa wakaona kuwa life tu la jamaa ni kwaresma toshaAsante Mkuu japo huo udhalilishaji ninao usema wa Instagram kiasi fulani wazungu wamekuja tu na advanced tool ya unyanyasaji badala ya kulazimishwa mtu anaweka tu mwenyewe ,Waafrika tunadharaulika sana ,wakati mwingine huwa namuuliza Mungu hivi siku ya hukumu kama kutakua na session ya maswali na majibu ,Mtu kama Sarah ama Otta wakimuuliza Mungu ni kwanini uliamua nipitie haya sijui atakuja na majibu gani ila naamini ni muweza wa yote na sipaswi kuwa na wasiwasi nae, Waafrika kwa sehemu kubwa nadhani tumeumbiwa mateso ,
Wee jamaa barafu si ndio mwenye ule mkasa wa kuiba almasi?naona na huku unashusha sana nondo za historia,kule jukwaa la siasa naona tena upo...We jamaa wapi ni wapi??au mkuu UncleBen mwenzangu unapata picha gani hapa?Though asante kwa nondo zako kwenye uzi huuView attachment 331629 View attachment 331630 View attachment 331631
Mkuu UncleBen hao wa Insta wanafanya kwa hiyari yao,Sarah Baartman ilikuwa ni shuruti
Zaidi ya Sarah,kulikuwa na kijana anaitwa Otta Benga,huyu nilimsoma wakati nafanya masomo yangu ya "Cultural Anthropology" kuna kitu wanaita "Cultural Ethnocentrism"....huyu kijana walimchukuwa na kumuweka kwenye zoo na nyani na wazungu wakawa wanakuja kumtazama,dogo alikuwa na meno yamechongoka kitu kilichokuwa kinawashangaza wazungu,wengi wakawa wanakuja kumcheki Benga wakiamini kabisa kuwa muafrika hana tofauti na nyani.
Lakini sehemu nyingine wazungu walikuwa wanawachukuwa wanawake walio uchi na kuwaweka ktk maonesho kwa kiingilio sbb kuna wazungu walikuwa hawajawahi kuona mwanamke wa kiafrika anafananje akiwa uchi.Huwa nashangaa sana tunavyowaamini wazungu,mzungu hajawahi kumpenda wala kumthamini muafrika,ukiona mzungu anajifanya kukupenda ujuwe ana maslahi na ukaribu wenu.Ama hakika waafrika tunadharaulika sana
Hahaha jamii forum ni kisiwa cha elimu ukiwa mpole unafuatilia utajua mambo mengi , jamaa anajua mambo mengi
Kijana we soma,elimika then chapa lapa....Mambo ya humu kujuana kwingi hakupo!!burudika penye kuburudika na elimika kwenye kuelimika....ashukuriwe aliyebuni JamiiForums
so sadView attachment 203551
In the late 18th century, Sarah Baartman was working as a slave inCape Town, South Africa, when she was discovered by a British doctor. Intrigued by her unusually large buttocks and genitals, he convinced her to accompany him to London. Once there, she was "displayed" as a scientific curiosity. Once the scientific community in London were tired of her, she turned to Parisian exhibitions, and once they were also tired of her, she turned to prostitution.
However, as a Khoikhoi woman she was considered an anthropological freak in England, and she found herself put on exhibition, displayed as a s*xual curiosity. Dubbed The Hottentot Venus, her image swept through British popular culture. Abolitionists unsuccessfully fought a court battle to free her from her exhibitors.
Sarah Baartman was taken to Paris in 1814 and continued to be exhibited as a freak. She became the object of scientific and medical research that formed the bedrock of European ideas about black female s*xuality. When she died in 1816, the Musee de l'Homme in Paris took a deathcast of her body, removed her skeleton and pickled her brain and genitals in jars. These were displayed in the museum until as late as 1985
After five years of negotiating with the French authorities for the return of Sarah Baartman remains, the South African government, together with the Griqua National Council which represents the country's 200 000 Griqua people, part of the Koi-San group, brought Sarah Baartman back to South Africa. On Friday 3 May 2002, in a moving ceremony attended by many representatives of the Khoikhoi people, Sarah Baartman was welcomed back to Cape Town. Her final resting place is in the Eastern Cape, where she was born.
By naming our centre after Sarah Baartman, we are remembering and honouring a woman who has become an icon, not only to her own Khoikhoi people, but to all women who know oppression and discrimination in their lives.
People sometimes ask us for pictures of Sarah Baartman. We have decided not to provide these, out of respect for her and in order not to perpetuate her exploitation by putting her once again on display.
With regard to Sarah Baartman name, we are aware that according to her baptism certificate (Saartjie was baptized in England), her name is written Sara Bartmann. In most writings, she is referred to as Sarah or Saartjie Baartman, where Saartjie is the Afrikaans diminutive of Sarah. There is a current debate on whether Saartjie should be discarded in favour of Sarah, as many women feel that the diminutive form of names is infantilizing. We use Saartjie and Sarah interchangeably, while acknowledging the Centre's formally registered name as the Saartjie Baartman Centre.
By the age of 25, Sarah Baartman was dead.
We can only guess that Sarah Baartman got on that ship from South Africa thinking she was headed for a better life. We can guarantee that the reality fell far short of her dreams. The story of Sarah Baartman is a must read, for we cannot completely understand where we are unless we first understand where we've been.
Source: thingsyoumissed