Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Ndugu yangu UncleBen "Mzee Che Guevara" upo wapi?Uu mzima wewe?
Sijakuona siku nyingi sana jukwaani.Tuambiane ulipo boss wangu
 
Ww unatudanganya ww?
 
hivi kwa hiyo rachu,alikua anachambaje,ila hawa wazungu hawa wametutesa sana
 
Wanawake wenye jina Sarah, hupitia mapito yasio na kifani ila mwishoni hua washindi wasio na mshindani.
I' have come to take you home.... machozi yamenilenga.
Ushindi wa Sarah huyu ni upi?
 
Sasa walikuwa wanashangaa Matako makubwa[emoji23][emoji23]!! Kumbe waxungu washamba kweli kweli
 
mbona hiyo mpk leo ipo hapo Amsterdam,ni kwamba kuna mademu waafrika walatini mpk mablonde wanauzwa na mamaster wao,anawekwa shoo ya uchi,ukitaka kugusa unaongeza dau,ukitaka kunawa dau zaidi ukitaka gemu bao 50 euro.
kuna waafrica hapo kitaa wana wezere halafu limekaa kimtindo hadi huyu sara angeomba poo akiwekwa pale.
 
Ili swali hata mimi uwa najiuliza,hivi sisi kuna kitu gani mola wetu katuandalia?kwani ni kama daraja la mwisho la binaadamu na jins tunavyobagulia,popote tuendako?nami nimekwisha kutana na ubaguzi ulionifan niwe mkorofi kwenye nchi za hawa jamaa,na ilifika sehemu wakawa wananiogopa,na waliziogopa hata dred zangu kuzishika shika,nawachukia baadhi yao si wote,kuna wenye roho za utu
 
Walituvisha uwoga na tukasahau kufikiri . ..lakini sasa tumeamka . ..jambo kuu tusiwe na hasira . ..Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…