Pre GE2025 Sarakasi za Wabunge majimboni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
Wakuu,

Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.

Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii.

Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha za aina hii.

Saashisha Mafue, Mbunge wa Hai (CCM)
1000018852.jpg
 
"WAKATI WA KWENDA KUWALANGAI WAPIGA KURA UMEFIKA WAKATI WA UPENDO WA KINAFKI UMEFIKA"
-walaghaiwa kazi kwenu,wananchi igeni Wajumbe!
 
Wakuu,

Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.

Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii.

Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha za aina hii.

View attachment 2948883
La Ole Sendeka ni script mbovu Sana.
 
Wakuu,

Chaguzi zimekaribia kuanza na tayari Wabunge wetu wameshaanza kurejea majimboni kushirikiana na wapiga kura wao kwenye masuala mbalimbali.

Binafsi naona hizi ni sarakasi tu na uzi huu utakuwa maalumu kwa wabunge wa aina hii.

Mimi nimeweka video zangu, shiriki pia kuleta video na picha za aina hii.

View attachment 2948883
Bado Kuna watu wanakamatika kwa mbinu hizo za kitoto?
 
Nimeona kuna mjinga hapo juu anasaidiwa kukandika nyumba yake ya tope akiwa amevaa kofia ya CCM kumtukuza bwana wake anaemlaza na njaa kila siku huku yeye akiish katika lijumba likuuubwa na kutembelea ligari la thamaaaani saana.
 
Si mnasikia huko Simanjiro mtu anapiga gari yake risasi halafu anadai ameshambuliwa ili kuwaghilibu wapiga kura wampe kura za huruma
 
Back
Top Bottom